Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye anajua inapopatikana wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.