Graxsam Member Joined Sep 23, 2021 Posts 83 Reaction score 94 Jul 11, 2022 #1 Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye anajua inapopatikana wadau. Msaada nina shida sana.
Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye anajua inapopatikana wadau. Msaada nina shida sana.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 11, 2022 #2 Umechelewa Tala wameshaifirisi.😄😄 Sasa hivi uende kwenye microfinance au tafuta mali yako uweke bond, wakopeshaji wa riba wapo kibao.
Umechelewa Tala wameshaifirisi.😄😄 Sasa hivi uende kwenye microfinance au tafuta mali yako uweke bond, wakopeshaji wa riba wapo kibao.
Wong Fei JF-Expert Member Joined Apr 13, 2016 Posts 5,083 Reaction score 6,872 Jul 11, 2022 #3 Ukishakopa unazima simu na kutupa sim card. Ilikuwa Tala, branch na Airtel kutokana na watu kutokuwa waaminifu wamefirisika
Ukishakopa unazima simu na kutupa sim card. Ilikuwa Tala, branch na Airtel kutokana na watu kutokuwa waaminifu wamefirisika
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 11, 2022 #4 Kama umeajiriwa ni rahisi kupata mkopo