Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Yani nimecheka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kwani anataka kuvua jamani?
Haujakosea mkuu!apo apoa Tanga City...ndio habari ya mjini sasa!Kuna club moja nilienda sijui inaitwa tanga city sina uhakika kulikuwa na baikoko...Tanga kuna balaa jamani
Haujakosea mkuu!apo apoa Tanga City...ndio habari ya mjini sasa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani nimecheka
Atakuwa hapajua ndio maana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanga raha sana, ukichelewa kumweleza mrembo akishakuelewa anakueleza tu. Yaani nilikuwa nalindwa badala Ya mimi kumlinda demu!!!!Kuna club moja nilienda sijui inaitwa tanga city sina uhakika kulikuwa na baikoko...Tanga kuna balaa jamani
Mimi niliingia nikawa nmekaa peke yangu akaja huyo binti akakaa pembeni yangu tukaanza story baadae mziki umechanganya akaomba anikalieTanga raha sana, ukichelewa kumweleza mrembo akishakuelewa anakueleza tu. Yaani nilikuwa nalindwa badala Ya mimi kumlinda demu!!!!
Ukipata demu muelewa utapapenda, they know how to care.
Kwamara ya kwanza kuona baikoko, nilishangaa sana watoto wazuri wanavyocheza hapo.
Ndo maana mnaambiwaga TANGA RAHAMimi niliingia nikawa nmekaa peke yangu akaja huyo binti akakaa pembeni yangu tukaanza story baadae mziki umechanganya akaomba anikalie
Nadhani aliamua kunikomesha
Nenda nyinda excutive kuna pub flan ivi classic unapata unachohitaji..mi nikiendaga tanga huwa nafikia hapo nakula nyama na warembo pia..namaliza haja zangu zote..wahudumu classic unapita nao pia hawana majoto.Mimi mpenzi wawarembo
Ndo maana mnaambiwaga TANGA RAHA
Hahahaaa. Usitunange basiSio hawa wanajiita watanga wapo dar mbwembwe nyingi