Tujuzane sehemu nzuri ya kula bata katika Jiji la Tanga

Kuna club moja nilienda sijui inaitwa tanga city sina uhakika kulikuwa na baikoko...Tanga kuna balaa jamani
Tanga raha sana, ukichelewa kumweleza mrembo akishakuelewa anakueleza tu. Yaani nilikuwa nalindwa badala Ya mimi kumlinda demu!!!!

Ukipata demu muelewa utapapenda, they know how to care.

Kwamara ya kwanza kuona baikoko, nilishangaa sana watoto wazuri wanavyocheza hapo.
 
Mimi niliingia nikawa nmekaa peke yangu akaja huyo binti akakaa pembeni yangu tukaanza story baadae mziki umechanganya akaomba anikalie

Nadhani aliamua kunikomesha
 
Ndo maana mnaambiwaga TANGA RAHA
 
Nenda kamalize haja zako sehem moja.ili usizunguke sana kama mwana mkosefu..ni kama dar nikija nafikia sinza namaliza haja zote..sina haja ya kuzunguka ovyo mjini.
 
Fanyeni updates basi basi za huu uzi maana mengi yanejifia
 
Back
Top Bottom