Tujuzane sehemu nzuri ya kula bata katika Jiji la Tanga

Tujuzane sehemu nzuri ya kula bata katika Jiji la Tanga

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Hata kama vyuma vimekaza lakini kula bata muhimu


Tarehe 10 ya mwezi nataka kwenda Tanga kutembea je nisehemu ipi nzuri katika Jiji la Tanga nataka kwenda kula bata na familia yangu.
 
Mkuu....ukifika tanga....usipofika MAJESTIC bado hujafika.

Lacasa....lavida....hiz zilkuwa club zetu....
 
Fika Tanga beach resort pako vizuri sana hata vyumba vyao vina jakuzi viko powa sana
Pia kuna Naivera Complex utafurahia
 
Umenifanya niikumbuke tanga ..kijiji lounge, kwetu pazuri ile club mpya (pweza) raskazoni kule mbele panori kitu km iyoo..mixer baikoko za mabanda ya papa[emoji23][emoji23][emoji23] [HASHTAG]#tanga[/HASHTAG] imeandika historia nzuri maishani
 
Back
Top Bottom