Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Salaam wakuu,

Uzi huu maalumu kwa sisi wapenda bata hata kama vyuma vimekaza, tunapambana na hali zetu na bata kama kawaida.

Sitaanza kwa kutaja kiwanja chochote kwa sasa, isionekane nafanya promo kwa yeyote, nawaachia nafasi, kutaja viwanja/Bar/Pub/Club ambazo kwa sasa zinabamba kwa huduma nzuri na bomba za Music, vinywaji, na maakuli, karibuni sana sana !!
 
sema tu mi mgen hapa Dar i nielekezeni wapi wenye grisi zao wanajivinjari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…