Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Pale kwa wazee bendi yao siilewagi kama sijalewa. Nina rafiki zangu ndo wananiletaga pale ila mwenyewe siez paenda maana ntaonekana nawafuata wastaafu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaa Rrondo ananiambiaga namendea wazee pale.napenda sana nyimbo za wahenga
 
Target napapenda hasa ile bendi ya mzee wa kitambaa cheupe. Wangejitahidi wapunguze wale mbu sasa. Njoo basi Golden J leo mpenzi. Au kama utakua target ntakuja kucheza mziki
Wewe utakuwa unapenda sehemu za fujo fujo.nitakucheki saa moja.
 
Back
Top Bottom