Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Muoeni yule mtoto jamani mzuri sana yuleKajaa teleee na zigo lake la nyaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muoeni yule mtoto jamani mzuri sana yuleKajaa teleee na zigo lake la nyaaa....
Mjini bana...eti kuna mpaka sehemu maalumu za bata..wakati huku kwetu ni wakitoka tuu bandani wanazurura zurura popote paleSalaam wakuu,
Uzi huu maalumu kwa sisi wapenda bata hata kama vyuma vimekaza, tunapambana na hali zetu na bata kama kawaida.
Sitaanza kwa kutaja kiwanja chochote kwa sasa, isionekane nafanya promo kwa yeyote, nawaachia nafasi, kutaja viwanja/Bar/Pub/Club ambazo kwa sasa zinabamba kwa huduma nzuri na bomba za Music, vinywaji, na maakuli, karibuni sana sana !!
Pale kwa wazee bendi yao siilewagi kama sijalewa. Nina rafiki zangu ndo wananiletaga pale ila mwenyewe siez paenda maana ntaonekana nawafuata wastaafu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ugonjwa wa Moyo Ule.Muoeni yule mtoto jamani mzuri sana yule
Njoo utaona sasasidhanii [emoji20]
Last time sikumkuta.Yule Dada wa popcorn la stanza bado yupo?
Jiamini mkuuUgonjwa wa Moyo Ule.
Kijiwe cha washkaji zangu ila mimi sijawah pakanyaga.Kumekaa kisharo sana
nikija ntakutafutaa [emoji1]Njoo utaona sasa
Tips
Havoc
Bucket
Truth
Golden J wameanza kujirudisha tena
Elements
Hangover (sio sana)
La Stanza - Goba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ule mzigo si mchezo. Halafu mtoto kaenda hewani, halafu hana mkorogo.
Muoeni yule mtoto jamani mzuri sana yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anauza popcorn kuliko bia
Mtoto kama yule si wa Kuoa. Ni Maalumu kuondoa Stress za Ndoa, Yani unampa kila kitu halafu anakua Nyumba Ndogo.Jiamini mkuu
Karibu nakuhakikishia kuenjoy.nikija ntakutafutaa [emoji1]
Siku hizi siendi sana mitaa hizo. Naweza enda mara moja kwa mweziUmetisha.... itakuwa tunapishana sana huko
Sio fair jamani.kosa lake nini?Mtoto kama yule si wa Kuoa. Ni Maalumu kuondoa Stress za Ndoa, Yani unampa kila kitu halafu anakua Nyumba Ndogo.