Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kwenda huko sio mbaya ujue. Na hata mtu awe anaamka na kulalia huko akikupenda anaacha bila wewe kumwambia aache. Mi ntaacha nikimpata wangu sasa hivi namalizia malizia 20's.
Kazana kula ujana,sie wahenga
 
Jmosi nilienda masters club tukahamia hangover pale kwa watoto halafu vikwapa sana.wale watoto ni wa mbezi kweli?
Mi niliishia East 24 mlangoni nikarudi kulala. Pale sijui kwanini watoto wengi. Enzi zile haijabadilishwa jina kulikua kiwanja cha kupatia madanga. Sasa hivi hapafai kabisa.
 
Jamani sisi wa mtoni kijichi huku bata letu wap maana ndo nimehamia
Mkuu huku kijichi kuna sehemu zakawaida tu hazina mambo mengi sana

Kuna TTL hiki nikiwanja kipya pametulia unakula mvinyo na mziki wa wastani

kuna Gateway bazaar hiki ni tulivu pia na chenyewe hakina mambo mengi unakula mvinyo na kwenda kupumzika

kuna Dar safari park hapo kama unashida ya makelele makelele na ukeshe mpaka kesho yake ni hapo

check me out for more details
 
😀😀😀😀😀
[emoji2][emoji2][emoji2]

Back
Top Bottom