Kazana kula ujana,sie wahenga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Kwenda huko sio mbaya ujue. Na hata mtu awe anaamka na kulalia huko akikupenda anaacha bila wewe kumwambia aache. Mi ntaacha nikimpata wangu sasa hivi namalizia malizia 20's.
Ulidhanishia nini mkuu?Sikuwahi dhania hii kitu aisee
Mwanaume akizeeka kapenda.Kazana kula ujana,sie wahenga
Basi mi nimiongoni mwaoMwanaume akizeeka kapenda.
Jmosi nilienda masters club tukahamia hangover pale kwa watoto halafu vikwapa sana.wale watoto ni wa mbezi kweli?Mwanaume akizeeka kapenda.
Mi niliishia East 24 mlangoni nikarudi kulala. Pale sijui kwanini watoto wengi. Enzi zile haijabadilishwa jina kulikua kiwanja cha kupatia madanga. Sasa hivi hapafai kabisa.Jmosi nilienda masters club tukahamia hangover pale kwa watoto halafu vikwapa sana.wale watoto ni wa mbezi kweli?
Aisee ndo maana naendaga sehemu za wahenga wenzangu tunajua hata kununua deodorant ya buku tanoMi niliishia East 24 mlangoni nikarudi kulala. Pale sijui kwanini watoto wengi. Enzi zile haijabadilishwa jina kulikua kiwanja cha kupatia madanga. Sasa hivi hapafai kabisa.
Hahaahhaaaa. Wahenga lazima wanukie vizuri. Wale watoto sijui wanatokea wapi.Aisee ndo maana naendaga sehemu za wahenga wenzangu tunajua hata kununua deodorant ya buku tano
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Msisahau kwenda na makanisani pia, mkasali.
Dance floor vikwapa vitupuHahaahhaaaa. Wahenga lazima wanukie vizuri. Wale watoto sijui wanatokea wapi.
Mmh..kumbee nami naja[emoji38]Elf 30 unasurvive kabisa mkuu
kuwa wewe ni mtumiaji mzuri wa pombeUlidhanishia nini mkuu?
aiseeπππJmosi nilienda masters club tukahamia hangover pale kwa watoto halafu vikwapa sana.wale watoto ni wa mbezi kweli?
Mkuu huku kijichi kuna sehemu zakawaida tu hazina mambo mengi sanaJamani sisi wa mtoni kijichi huku bata letu wap maana ndo nimehamia
[emoji2][emoji2][emoji2]πππππ
Mkuu huku kijichi kuna sehemu zakawaida tu hazina mambo mengi sana
Kuna TTL hiki nikiwanja kipya pametulia unakula mvinyo na mziki wa wastani
kuna Gateway bazaar hiki ni tulivu pia na chenyewe hakina mambo mengi unakula mvinyo na kwenda kupumzika
kuna Dar safari park hapo kama unashida ya makelele makelele na ukeshe mpaka kesho yake ni hapo
check me out for more details
hapana bhana,ni nini lakiniUjisifu umepata demu wa bure bure eeh