Tujuzane status za account zetu TCU


apo gudah....
yah ipo tena bolded kwa rangi nyekundu... kama huyakuti basi utakuta mengine yaki ku direct kwenye kozi zilizo wekwa ili umchague tena na kama ukifungua form yako utakuta juu kuna vibox vi
application selected prog. add IV sit add VI sit na profile
kwahyo ukiona iko kibox chakwanza application kinabonyezeka (kitakua kimekozwa na wino mweus) basi wewe unatakiwa uapply haraka sana ila kikiwa kimepauka akibonyezeka basi ur safe... au kibox cha selected program kikiwa kimepauka hakibonyezek basi ujue fika haujachagua kitu so ur not safe go for to application uapply tena
 
angalia hapa jinsi ulivyosema kwamba HUJAWAHI KUYAONA...... ndo nimejibia apo kijana unajichanganya
 

Kama uko Dar Nenda TCU nadhani hapo utapata mwongozo, humu itakuwa talalila tu!
 
Ni Ajabu Mnatarajia Kwenda Chuo Hata Succesful Hamjui Kuandika, AIBU
 
Hapo mpaka majina yatoke ni mpaka deadline ya second round application ipite ambayo ni 15th. So the release of posts probably will be in 17 th or 18th
And admission to University will be on the first week of October or late week of Sept.
Depends with the University itself
 
Apply diploma ya hizo course unazotaka....kama vile Clinic officer, nursing, na hiyo lab technician...ila sina hakika kama muda wa kuomba bado haujaisha....
 
Jonatus when they say you have been selected. Wanamanisha umechaguliwa kati ya vyuo ulivyoomba.au wanaweza kukubadilishia program nyingine
 
Kuahirisha mwaka nasikia mpaka uandike barua tcu kuna ukwel hapo ndugu?
Au unafuata process gan?
Yah ni kweli wao huwataka watu wote waliopangiwa vyuo lakin wakashindwa kuripot wandike barua! Zoezi hilo hufanyika mwakani wakat ukitaka kuomba tena!
 
Jonatus when they say you have been selected. Wanamanisha umechaguliwa kati ya vyuo ulivyoomba.au wanaweza kukubadilishia program nyingine


Kati ya vyuo ulivyoomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…