pole sna kaka kwa mkasa uliokukuta.mwaka jana ilinitokea case kama hii na nilikuwa jkt.nilitaman kufa lakn nikajaribu kuwasiliana na watu wa nyumbani wakawa wamenijazia second round coz ya sociology hapo mliman .dah sikuwa na jinsi ikabidi niende chuo ki ukweli maisha yalikuwa tait sana asikwambie mtu.ukizingatia hata mkopo sikuwa nao hali ya kifedha nayo haikuwa nzuri kwa ubande wa home.nikasema hapana lazima nifanye kitu nikawatimbia tcu nikawapa mpango mzima na ugumu wa chuo ulivyo.wakaniambia inawezekana ukaacha chuo na kuomba tena mwakani.basi nikaandika barua chuoni ya kuacha kabisa chuo sio kusimama yaan kuacha masomo.wakati nasubiri majibu nikaomba na mkopo ilikuwa mwezi wa sita mwaka huu.chuo wakawa wamenijibu kutokana na maelezo yangu yalivyokuwa yamejitosheleza.nikawaandikia na tcu barua ya ku re-apply nikaambatanisha na majibua ya chuoni nikawa nimewapelekea basi wakaipokea wakaniambia haina shida wewe nenda kaapply.ndo nikawa nimetafuta elfu hamsin yao nikaomba juzi wametoa majina ya waliokosea namshukuru mungu langu halipo nimeingia kwenye acountg yangu imeandika procesed succsesfll.you have been selected ndo nawasikilizia mpaka sasa hvi.na ikumbukwe kuwa mwaka jana niliomba education kwa vyuo kama udsm,duce,udom,ardh,muce ila mwaka huu nikajaribu kuchanganya vyuo mfano udsm,udom,duce,saut,ruaha