Nadaiwa na bodi ya mkopo zaidi a Milioni 9.
Hilo ni kweli,Usichukue mkopo pia kuanzisha biashara.
Mikopo inachukuliwa ku-boost biashara ambayo inamwelekeo.
Nmekumbuka septemba 2011 pindi nadaiwa 63.1 million NBC bank.Kaka nyamaza hiyo Million 9 mbona cha mtoto watu wanadaiwa millions 42
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah, benki wakikukopesha pesa kidogo wanakuwa kama wamekuoa. Watakupigia simu muda wanaotaka, watakuja nyumbani kwako muda wanaotaka na mbaya zaidi watakwambia maneno wanayotaka. Yani there are lots of shits utazipata ukiwa unadaiwa na benki hasa hizi zilizo ajiri vijana wasio na weledi na taaluma yao!kipi kilikukuta bro
Haha hao ndio nawataka. Kama nikiwa na marejesho mazuri halaf wananisumbua nitakua nawajib shit mpaka wakitaka kuja kwangu wanajifikiria mara mbili mbiliAaah, benki wakikukopesha pesa kidogo wanakuwa kama wamekuoa. Watakupigia simu muda wanaotaka, watakuja nyumbani kwako muda wanaotaka na mbaya zaidi watakwambia maneno wanayotaka. Yani there are lots of shits utazipata ukiwa unadaiwa na benki hasa hizi zilizo ajiri vijana wasio na weledi na taaluma yao!
ndo kwanza mwaka mmoja umeisha, bado minne.
Nmekumbuka septemba 2011 pindi nadaiwa 63.1 million NBC bank.
Nkichecki balance naona inasoma mil.18
Ilinibidi niwaachie tu Nyumba kimara bonyokwa, hii 18 mil nlokua nayo nijipange kivingine.
Nashkuru mungu,
Nilipambana nikarud kwny game 2013.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi baishara yako imefikia ukubwa wa kuandaa mizania ya mwakaRaha ya pesa ya mkopo,
Ipelekewe kwenye mradi wa biashara INAYOENDELEA.
Tatizo Kubwa LA watumishi wa Umma,
Pesa ya mkopo mnapeleka kwny
-kutatulia matatizo,
-kujengea nyumba za kuishi
-kunulia usafir binafs
-Kununulia Fenicha
Kwa Style hii,
Ni lazima ela ya mkopo iwe majuto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ukaamua na id yako ujiite Mikopo Chefuchefu ili uwe unakumbuka madhila uliyopitia🤣🤣Mara ya mwisho kukopa ilikuwa 2015 mwanzoni. Since then sijawahi tena kwenda kujaza form ya mkopo... Nilisha apa. Mtu atayeniona nakopa pesa benki, anichinje kwa msumeno!
Katika mikopo ya kifala kabisa ni hii kitu ya kuitwa salary advance. Yaani kama hauko makini ukishaianza huwezi kuacha kila mwezi utajikuta unalazimika kuchukuaSiku hizi tunapewa na salary advance...benki hizi
Kabisa mkuu....ila staff wana njaa asee hawaachi hela[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katika mikopo ya kifala kabisa ni hii kitu ya kuitwa salary advance. Yaani kama hauko makini ukishaianza huwezi kuacha kila mwezi utajikuta unalazimika kuchukua
Ulikopa kiasi gani?
Wee mwanamke tajiri salary advance ya nini tena🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi tunapewa na salary advance...benki hizi