Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

Usichukue mkopo pia kuanzisha biashara.

Mikopo inachukuliwa ku-boost biashara ambayo inamwelekeo.
Hilo ni kweli,

Biashara mpya ina changamoto nyingi zinazofyonza pesa ISIYORUDI.

Mfano:
Kwenye biashara mpya, Utakutana na gharama za
- ukarabati utakucost

- usajili tra,leseni n.k utapigwa Maana Mbinu za Medani utakua huja zimaster.

- Usafirishaji utatumia garama kubwa maana Chocho utakua huzijui bado.

- Mzigo wa Biashara utauziwa bei juu Maana machimbo utakua hujayajua bado.

Pia,
Hutakua huna wateja wa uhakika kuweza kukimbiza mzigo wako fasta ili marejesho yawe rahisi.

At the end,
Muda wa marejesho unafika,

Mauzo yako ni kiduchu, matumizi ni Makubwa.

UNAJIKUTA, UNAFIRISIWA



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nyamaza hiyo Million 9 mbona cha mtoto watu wanadaiwa millions 42


Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekumbuka septemba 2011 pindi nadaiwa 63.1 million NBC bank.

Nkichecki balance naona inasoma mil.18

Ilinibidi niwaachie tu Nyumba kimara bonyokwa, hii 18 mil nlokua nayo nijipange kivingine.

Nashkuru mungu,
Nilipambana nikarud kwny game 2013.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipi kilikukuta bro
Aaah, benki wakikukopesha pesa kidogo wanakuwa kama wamekuoa. Watakupigia simu muda wanaotaka, watakuja nyumbani kwako muda wanaotaka na mbaya zaidi watakwambia maneno wanayotaka. Yani there are lots of shits utazipata ukiwa unadaiwa na benki hasa hizi zilizo ajiri vijana wasio na weledi na taaluma yao!
 
Aaah, benki wakikukopesha pesa kidogo wanakuwa kama wamekuoa. Watakupigia simu muda wanaotaka, watakuja nyumbani kwako muda wanaotaka na mbaya zaidi watakwambia maneno wanayotaka. Yani there are lots of shits utazipata ukiwa unadaiwa na benki hasa hizi zilizo ajiri vijana wasio na weledi na taaluma yao!
Haha hao ndio nawataka. Kama nikiwa na marejesho mazuri halaf wananisumbua nitakua nawajib shit mpaka wakitaka kuja kwangu wanajifikiria mara mbili mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilikukuta nini mkuu yaan mpk moyo umeshtuka hii story yako
Nmekumbuka septemba 2011 pindi nadaiwa 63.1 million NBC bank.

Nkichecki balance naona inasoma mil.18

Ilinibidi niwaachie tu Nyumba kimara bonyokwa, hii 18 mil nlokua nayo nijipange kivingine.

Nashkuru mungu,
Nilipambana nikarud kwny game 2013.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya pesa ya mkopo,
Ipelekewe kwenye mradi wa biashara INAYOENDELEA.

Tatizo Kubwa LA watumishi wa Umma,
Pesa ya mkopo mnapeleka kwny
-kutatulia matatizo,
-kujengea nyumba za kuishi
-kunulia usafir binafs
-Kununulia Fenicha

Kwa Style hii,
Ni lazima ela ya mkopo iwe majuto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi baishara yako imefikia ukubwa wa kuandaa mizania ya mwaka
 
mikopo inabraha yake ila raha zaidi iwe kile ulichowekeza kinaleta faida hapo hapo unapata cha kurudisha ilavunakopa ujenge au unakopa ununue gari alooo nahisi mkopaji lazima aumie roho wakat wa marejesho. alaf kuna hawa jamaa wanakopesha watumishi wa uma mhhh wanakuambia sema ndiooooooooo alooooo me nacheka tu
 
Katika mikopo ya kifala kabisa ni hii kitu ya kuitwa salary advance. Yaani kama hauko makini ukishaianza huwezi kuacha kila mwezi utajikuta unalazimika kuchukua
Kabisa mkuu....ila staff wana njaa asee hawaachi hela[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfumo wa maisha ya watu tulio katika ajira kuna muda unakuta ni ngumu sana kuishi bila kukopa. Binafsi nikimaliza madeni niliyonayo, sikopi tena bora nilale njaa asee, Mikopo inatesa sana
 
Back
Top Bottom