Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
SongeshaaaKatika mikopo ya kifala kabisa ni hii kitu ya kuitwa salary advance. Yaani kama hauko makini ukishaianza huwezi kuacha kila mwezi utajikuta unalazimika kuchukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SongeshaaaKatika mikopo ya kifala kabisa ni hii kitu ya kuitwa salary advance. Yaani kama hauko makini ukishaianza huwezi kuacha kila mwezi utajikuta unalazimika kuchukua
Umepataje mkopo kwa dhamana ya nyumba?Wakopaji ni risk takers na risk takers wengi ndio wamefanikiwa. Ninafuraha sana kuwa mkopaji nzuri wa mabank na sijawahi kuziangusha wala mikopo haijawahi kuniangusha. Leo nimetoka kuprocess mwingine dhamana nyumba iliyotokana na mikopo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa nilipo badaiwa kama milioni 70 hivi na usheee alafu hata sielewiKaka nyamaza hiyo Million 9 mbona cha mtoto watu wanadaiwa millions 42
Sent using Jamii Forums mobile app