Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Niimeitazama sana hii chanel na bado naitazama..Da Vinci Learning ni channel ambayo nitamlazimisha mwanangu aangalie hata kwa makofi.
Hiyo ndo channel inayoweza kumjenga mtoto kiakili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Konaoneshwa usiku sana, huwa nikipata muda mara moja moja natazamaAhaaaa mkuu icho kipindi nilikuwa nakipenda na nilikuwa sikikosi nashukuru kimenifumbua sana kuhusu mambo ya mahusiano.
Sema sasa hivi naona kama wamekipeleka mda mbovu kinaanzaga kitu kama saa 6 hivi ndio hapo nilipochemka sijakitazama mda sana. Sasa hivi natazama vipindi vyao vyakutisha tu.