Tujuzane Tv channels nzuri zenyekutoa elimu hasa Documentary

Tujuzane Tv channels nzuri zenyekutoa elimu hasa Documentary

Ahaaaa mkuu icho kipindi nilikuwa nakipenda na nilikuwa sikikosi nashukuru kimenifumbua sana kuhusu mambo ya mahusiano.

Sema sasa hivi naona kama wamekipeleka mda mbovu kinaanzaga kitu kama saa 6 hivi ndio hapo nilipochemka sijakitazama mda sana. Sasa hivi natazama vipindi vyao vyakutisha tu.
Konaoneshwa usiku sana, huwa nikipata muda mara moja moja natazama
 
Back
Top Bottom