supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Wakuu mko njema?
Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏
Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye Crown zetu😀😀?) Kwa sababu hata mjini naona ni chache mno! Mwenye ujuzi na hizi gari atusaidie kwa faida ya wengi, namna ya matengenezo yake, aina ya mafuta, etc
I.e faida na hasara ya gari za kijerumani
Natanguliza shukrani