Tujuzane yanayoendelea baada ya Uchaguzi wa Zambia 2021

Tujuzane yanayoendelea baada ya Uchaguzi wa Zambia 2021

Si rahisi sana, baada ya muda hali itatulia na maisha yataendelea. Kuiondoa Zambia mikononi mwa Wachina hakuwezi kutokea ghafla usiku mmoja, ni process ndefu kidogo.

Wachina wanafanya nini huko
 
Zinapigwa risasi hapa border ni hatari sana wao kwa wao
 
Leteni taarifa kamili basi...siyo kila mtu yupo Tunduma
 
Wanasema ukisikia mwenzanko kanyolewa na wewe weka maji kichwa chako upate kunyolewa.

Hali si nzuri huko kuanzia boda yetu na Zambia.

Nasikia wachina washaanza kufunga virago wengine sijui walijiona wananchi wachinazambia.

Tujuzane huko kinachoendelea.
Sisi tulie na tume pamoja na katiba mpya
 
IMG_8470.jpg

IMG_8476.jpg
 
Back
Top Bottom