Tumepenyezewa hiyo ni moja ya ajenda kujadiliwa, wanataka wakenya waishio tanzania kupewa passport za Tanzania ili iwe easy ku access sadc countries,huo ni ushenzi na upumbavu wa Wakenya, nashauri tusiruhusu ukaribu sana na hawa jamaa.ongeza nyama hapa.
Tatizo ni nini ikiwa hivyo?
Swali kidogo, Kenya sio sehemu ya SADC? Kama jibu ni SIYO, kwa nini hawasafiri huru ndani ya SADC?Tumepenyezewa hiyo ni moja ya ajenda kujadiliwa,wanataka wakenya waishio Tanzania kupewa passport za tanzania ili iwe easy ku access sadc countries,huo ni ushenzi na upumbavu wa wakenya,nashauri tusiruhusu ukaribu sana na hawa jamaa.
sawa nimekuelewa ila weka sababu ya hoja yako hii.tumepenyezewa hiyo ni moja ya ajenda kujadiliwa,wanataka wakenya waishio tanzania kupewa passport za tanzania ili iwe easy ku access sadc countries,huo ni ushenzi na upumbavu wa wakenya,nashauri tusiruhusu ukaribu sana na hawa jamaa
Na bado mpaka maji muite mmaUjinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi...
Hata kama ni sehemu ya sadc hao si raia wa Tanzania, passport ni utambulisho wa raiaSwali kidogo, Kenya sio sehemu ya SADC? Kama jibu ni SIYO, kwa nini hawasafiri huru ndani ya SADC?