Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHAHAWatanzania tunajifanya tunapenda kutabili Sana Yani kitu hakijazungumzwa wewe unajifanya umepenyezewa Yani wewe Nani akujue mpaka akupe hiyo habari
Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi.
Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja.
Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya na Rais wetu.
Tunarudi kulekule tulikotoka ndugu zangu, tunapiga hatua moja mbele tunarudi hatua tatu nyuma.
Mzee Mwinyi alisema aliposema ruksa kwa nia ya kufungua biashara ndipo uchafu mwingi ulipoingia " ukifungua dirisha upate hewa safi wataingia hadi inzi"Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi.
Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja.
Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya na Rais wetu.
Tunarudi kulekule tulikotoka ndugu zangu, tunapiga hatua moja mbele tunarudi hatua tatu nyuma.
Yaani huyo jamaa mpuuzi mno,umemjibu sawaSasa wanapewa kwanza uraia au inakuaje? Passport ya Tanzania si ni kwa ajili ya Rais wa Tz, au?!