Tukatae Wakenya kusafiria passport zetu nchi za SADC

Huu ni uzushi usiokubaliana na mantiki .Haiwezekani mtu ambaye sio raia wa Tanzania kupewa passport ya Tanzania. Full stop.
 
hhhhhhh mkuu naomba unitumie ulichovuta kabla hujaandika hii mada.this Is not even logic
 

UMEKURUPUKA!
 
Mzee Mwinyi alisema aliposema ruksa kwa nia ya kufungua biashara ndipo uchafu mwingi ulipoingia " ukifungua dirisha upate hewa safi wataingia hadi inzi"

Wasiwasi wa wengi ni kivuli cha Msoga nyuma ya mama. Tumuombee ajisimamie, tumuamini yeye na vision yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…