brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Daaaaah, imetoka moyoni kweli hiyo?Siku ikipita hujamtaja Tunda hupati raha eeeh!
Lulu kamzidi tumda according to me
Mkuu piga kura hapo nani mkaliWe hance mtanashati, hivi Tunda anakulipaga sh. Ngapi ukimpigia promo?
Au na ww uko kama uvccm ambao kila thread wanapewa buku 7?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sawa basi mwenye afadhari afadhari hata kidogo tuHamna kitu hapo.
Wanaukimbia ukweli hao, hawataki kuamini kama tunda ni kisu mara tatu ya luluMmh!! Tunda kisu nyie jamani, tunda kiboko ya lulu bhana
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Tunda she is more beautiful
Umefunguka mkuuWe hance mtanashati, hivi Tunda anakulipaga sh. Ngapi ukimpigia promo?
Au na ww uko kama uvccm ambao kila thread wanapewa buku 7?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]