brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Leo nataka tukate mzizi wa fitina kati ya Tunda na Elizabeth Michael Lulu nani kisu zaidi kuliko mwingine
Picha ya pamoja Tunda na Lulu
Lulu
Tunda
Lulu akiwa kitandani
Tunda akiwa kitandani
Haya sasa nimewawekea picha za kutosha kuwalinganisha na kuwapambanua vya kutosha
Nikianza na mimi mwenyewe karata yangu inaenda kwa Tunda bila kumumunya maneno, wewe je nani unamuona kisu kuliko mwingine
Karibuni