TunasubiriNipo hapa naangalia huu mzizi umeanzia wapi na una ukubwa gani, ili niweze kuukata kirahisi.
Nikishafahamu chanzo chake, nitarejea kuukata.
Huyu Mkude wa vipass vya nipe nikupe ndo awe bora!?Mkude dimba la chini Hana mfano wake!
Ana nyota kama ya Sir Nature.Huyu Mkude wa vipass vya nipe nikupe ndo awe bora!?
Chuji alikosa mwongozo tu,ila alikuwa anaoffer vitu vingi,kwa aliweza kucheza kama centre back,holding midfielder,hata attacking pia alikuwa anapiga pasi zake fulani hivi, Mkude ni mzuri Ila Chuji alikuwa na quality zaidiKati ya Jonas Gerrad Mkude na Athumani chuji wa kwenye ubora wake nani fundi sana ukizingatia wote wanacheza nafasi moja.
Manara anasema Mkude habari nyingine je wewe una maoni gani
View attachment 906492View attachment 906493
Now you're talking.Chuji alikosa mwongozo tu,ila alikuwa anaoffer vitu vingi,kwa aliweza kucheza kama centre back,holding midfielder,hata attacking pia alikuwa anapiga pasi zake fulani hivi, Mkude ni mzuri Ila Chuji alikuwa na quality zaidi