Tukate mzizi wa fitna kati ya Mkude na Chuji nani kiungo wa chini fundi kuliko mwenzie

Tukate mzizi wa fitna kati ya Mkude na Chuji nani kiungo wa chini fundi kuliko mwenzie

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Kati ya Jonas Gerrad Mkude na Athumani chuji wa kwenye ubora wake nani fundi sana ukizingatia wote wanacheza nafasi moja.

Manara anasema Mkude habari nyingine je wewe una maoni gani

FB_IMG_15401382033402592.jpg
FB_IMG_15401418038237385.jpg
 
Huyu Manara wamemfanya nini walivyomchukua....unawezaje kusema Mkude bora wakati mechi za CAF hata kumi hajacheza aarrrgghhj
 
Chuji ni zerro brain usimlinganishe na Mkude. Nataman miguu ya CHUJI ama BOBAN wangepewa watu kama akina Lyanga au Danny Mrwanda tungewaskia EPL
 
Mkude na Chuji? Mkuu umeshawahi kumtazama chuji akiwa ktk ubora wake?

Mkude mfananishe na Rashid Gumbk alipokuwa ktk ubora wake, Chuji alikuwa mtu haswa.
 
Acha kumlinganisha Maestro Chuji na vitu vya kijinga. Chuji is a more complete player. Can play as defensive or attacking midfielder. Chuji could play as a Centre Back. Passing range ya Chuji ni exceptional. Short and long range. Mkude ni simply defensive midfielder with short passes. Nothing else.
 
Acheni dharau bhana! Mkude na Chuji? Chuji alikuwa vizuri sana ni fedheha kumlinganisha na Mkude!
 
Nipo hapa naangalia huu mzizi umeanzia wapi na una ukubwa gani, ili niweze kuukata kirahisi.

Nikishafahamu chanzo chake, nitarejea kuukata.
 
Kati ya Jonas Gerrad Mkude na Athumani chuji wa kwenye ubora wake nani fundi sana ukizingatia wote wanacheza nafasi moja.

Manara anasema Mkude habari nyingine je wewe una maoni gani

View attachment 906492View attachment 906493
Chuji alikosa mwongozo tu,ila alikuwa anaoffer vitu vingi,kwa aliweza kucheza kama centre back,holding midfielder,hata attacking pia alikuwa anapiga pasi zake fulani hivi, Mkude ni mzuri Ila Chuji alikuwa na quality zaidi
 
Mkude... Mkude... Mkude... Simba wamelogwa na mkude
 
Huyu mkude mbona wakawaida tu kumlinganisha na chuji ni kumkosea chuji heshima.
 
Back
Top Bottom