Tukate mzizi wa fitna kati ya Mkude na Chuji nani kiungo wa chini fundi kuliko mwenzie

Tukate mzizi wa fitna kati ya Mkude na Chuji nani kiungo wa chini fundi kuliko mwenzie

Kwangu Mimi list yangu ingekuwa hivi.
1 Suleiman Matola
2 Waziri Mahadhi
3Jonas Mkude
4 Shaban Nditi
5Athuman Idd
Hawa ndiyo midfielder bora kwa miaka kumi na tano iliyopita kwenye ligi yetu
 
Back
Top Bottom