Tukate mzizi wa fitna: Uzi upi mkali?

Maguruguja fc, a.k.a Simba sport a.k.a Mikia fc
 
Kama naona kwenye jezi za yanga kwa mbaali kuna alama flani kati kati.
Hili sio sawa.
Nilivyoona tu nilikuwa nasubiri maoni kama ya kwako, ha ha....!
Watu watata katika ubora wenu.
 
Jezi za yanga zina AC kwa pembeni yani mwili unapumua mpka rahaa ila yale magunia ya fc matopeni nawashauri wenye presha msizivae pia nikikutana na wew nakutandika manati tuu maana ntajua wew ni mjusi kafiri
 
Hii iko tz tu yaan saiv tunhekuwa tunawaza tunampigaje rollers ya botswana na wale wa msumbiji . lkn bado tunaangalia jezi ipi ni nzuri

Mara paaad hatua ya mtoano tu out
 
Hii iko tz tu yaan saiv tunhekuwa tunawaza tunampigaje rollers ya botswana na wale wa msumbiji . lkn bado tunaangalia jezi ipi ni nzuri

Mara paaad hatua ya mtoano tu out
We jamaa kichwa chako kimejaa stress, sio kila saa tudiscuss mambo siriaz
 
Yanga hawajawahi kukosea katika swala la jersey....
Na hii ndio list ya jersey kali za msimu huu Bongo
1.Yanga
2.Lipuli fc
3.Azam
4.KMC
5. Labda niiweke Simba sbb zingine sijaziona mpaka sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…