Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyoona tu nilikuwa nasubiri maoni kama ya kwako, ha ha....!Kama naona kwenye jezi za yanga kwa mbaali kuna alama flani kati kati.
Hili sio sawa.
Ahahahaha we jamaaSimba bhana [emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1170480
Ukiacha kwenye michezo, unaweza ukauvaa kwenye tukio gani?Dah huo Uzi wa Yanga mpaka udenda unatoka jinsi ulivyo mtamu....
Wadhamini haoMbona zote zimeandikwa Sportpesa??
Kwahiyo ubora wa jezi ni kuuzwa kilo 5?Za Yanga zimetoka Uturuki ..za mikia kwa macho kuvimba..Tarimba kanunua kwa Jiwe tano
Wazee wa imani mpo?Kama naona kwenye jezi za yanga kwa mbaali kuna alama flani kati kati.
Hili sio sawa.
Duh utani wa jadiSimba bhana [emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1170480
SourceSimba ina uzi wa kimataifa na wenye viwango vya kimataifa.
Jana nimeona mkurugenzi wa vifaa Bayern Munich akiomba wanakiri uzi huu wautumie kwenye Bundesliga.
We jamaa kichwa chako kimejaa stress, sio kila saa tudiscuss mambo siriazHii iko tz tu yaan saiv tunhekuwa tunawaza tunampigaje rollers ya botswana na wale wa msumbiji . lkn bado tunaangalia jezi ipi ni nzuri
Mara paaad hatua ya mtoano tu out