Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Sawa lkn Nadhani kwny group stages ndio kitakuwa kipimo sahihi coz ni kugumu zaid
 
Asante sana mkuu ndicho hicho tulichokua tunahitaji toa hoja kwa takwimu ila mtoa mada kaangazia zaidi msimu huu ingekua vizuri ungetoa takwimu za msimu huu pia
Ebu mkuu lete Kwanza takwimu za klabu bingwa na shirikisho
Tuanze hapa wale wa Sudan bwana mdogo fei alitoa assist ngapi vipi Aly hilal ya Sudan pia club africain ya Tunisia au hizi ni mechi ndogo ambazo ndio chama ana zimuddu ? Utasikia hizi azihusiani
Kisha tuje hapa Nyasa assist 2 goli boco na phiri
De Augusto goli na assist kwa phiri
It means CHAMA goli 1 na assist 2 through to cuf group stage
NBC chama assist 7 goli 2 jumla
=== goli 3 na assist 9 kwa ligi ya ndani na ligi ya cuf simple and clear si takwimu za msimu huu aya izo apo.
 
Mkuu wala sio vita nilichokua namfufafanulia tu jamaa
 
Rejea mechi zenu kati ya RIVERS, VIPERS & AL HILAL.
Sahihi mkuu ukizungumzia na vipers pia tuwakumbushe na hii st George chama alitoa assist kwa okwa baada ya kuwavuruga mabeki na okwa kufunga goli la pili imetosha kabisa hii je Nyasa big bullet je de Augusto pale Luanda
 
Mbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!
Kwa takwimu ambazo mpaka sasa ivi wanazo kuna mmoja takwimu zipo upande mmoja Tu wa ligi na mwingine zipo pande zote mbili namaanisha NBC league na CAF League mwenyew ushajua tayari
 
Mbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!
acha kuvuta tangawizi Simba vs Nkana corona ilikuwepo? Simba vs yanga unayotaka kigoma finali fa, corona ilikuwepo? Simba vs soura corona ilikuwepo ,Simba na vita ya kina kisinda corona ilikuwepo?na nyingine nyingi mwamba wa lusaka alisimamia shoo, Tena za kimataifa .
 
Na hizo mbona za mbali izi za juz vipi Al hilaly club africain wale wa Sudan
Aya Nyasa big bullet, de Augusto hizi nazo atasemaje?
 
Leo chaijaba alibananishwa na kina buswita hakuonekana kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sahihi mkuu ukizungumzia na vipers pia tuwakumbushe na hii st George chama alitoa assist kwa okwa baada ya kuwavuruga mabeki na okwa kufunga goli la pili imetosha kabisa hii je Nyasa big bullet je de Augusto pale Luanda
Una madini yenye fact
 
Teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…