Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lkn Nadhani kwny group stages ndio kitakuwa kipimo sahihi coz ni kugumu zaidUnasubiriaje ratiba za group stage wakati mechi zimechezwa tayari au akuna izo game Al hilaly Vs yanga apo akuna takwimu? Africain club apo Napo wale jamaa wa sudan vipi?
akuna takwimu za fei apo
Nyasa big bullet tayr mwamba kule Malawi alishatoa assist 2 kwa phiri na captain bocco
Pale Angola zidi ya de Augusto
Mwamba chama alifunga na assist kwa phiri hizi hapa vipi mpaka Tusubiri group stage au hizi sio takwimu??? Majbu mleta uzi please
Ebu mkuu lete Kwanza takwimu za klabu bingwa na shirikishoAsante sana mkuu ndicho hicho tulichokua tunahitaji toa hoja kwa takwimu ila mtoa mada kaangazia zaidi msimu huu ingekua vizuri ungetoa takwimu za msimu huu pia
Mkuu wala sio vita nilichokua namfufafanulia tu jamaaEbu mkuu lete Kwanza takwimu za klabu bingwa na shirikisho
Tuanze hapa wale wa Sudan bwana mdogo fei alitoa assist ngapi vipi Aly hilal ya Sudan pia club africain ya Tunisia au hizi ni mechi ndogo ambazo ndio chama ana zimuddu ? Utasikia hizi azihusiani
Kisha tuje hapa Nyasa assist 2 goli boco na phiri
De Augusto goli na assist kwa phiri
It means CHAMA goli 1 na assist 2 through to cuf group stage
NBC chama assist 7 goli 2 jumla
=== goli 3 na assist 9 kwa ligi ya ndani na ligi ya cuf simple and clear si takwimu za msimu huu aya izo apo.
Sahihi mkuu ukizungumzia na vipers pia tuwakumbushe na hii st George chama alitoa assist kwa okwa baada ya kuwavuruga mabeki na okwa kufunga goli la pili imetosha kabisa hii je Nyasa big bullet je de Augusto pale LuandaRejea mechi zenu kati ya RIVERS, VIPERS & AL HILAL.
Mkuu umenihukumu vibaya labda kama tunafokeana hapana ni swala la kueleweshana tu.Mkuu wala sio vita nilichokua namfufafanulia tu jamaa
Kwa takwimu ambazo mpaka sasa ivi wanazo kuna mmoja takwimu zipo upande mmoja Tu wa ligi na mwingine zipo pande zote mbili namaanisha NBC league na CAF League mwenyew ushajua tayariMbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!
acha kuvuta tangawizi Simba vs Nkana corona ilikuwepo? Simba vs yanga unayotaka kigoma finali fa, corona ilikuwepo? Simba vs soura corona ilikuwepo ,Simba na vita ya kina kisinda corona ilikuwepo?na nyingine nyingi mwamba wa lusaka alisimamia shoo, Tena za kimataifa .Mbona hujaweka Yanga vs ngada fc pale ccm kirumba nusu fainali ya fa last season au ile si miongoni ya match zenu ngumu?unatuletea takwimu za match za kipindi cha corona while wenzetu walikua wanacheza wakitokea nyumbani sie ligi ikiendelea!
Na hizo mbona za mbali izi za juz vipi Al hilaly club africain wale wa Sudanacha kuvuta tangawizi Simba vs Nkana corona ilikuwepo? Simba vs yanga unayotaka kigoma finali fa, corona ilikuwepo? Simba vs soura corona ilikuwepo ,Simba na vita ya kina kisinda corona ilikuwepo?na nyingine nyingi mwamba wa lusaka alisimamia shoo, Tena za kimataifa .
utapimaje wachezaji group stage wakati Chama anacheza dhidi ya Al ahly na wydad huku Fei anacheza na losers, ugumu haulinganiSawa lkn Nadhani kwny group stages ndio kitakuwa kipimo sahihi coz ni kugumu zaid
Una madini yenye factSahihi mkuu ukizungumzia na vipers pia tuwakumbushe na hii st George chama alitoa assist kwa okwa baada ya kuwavuruga mabeki na okwa kufunga goli la pili imetosha kabisa hii je Nyasa big bullet je de Augusto pale Luanda
Teh tehacha kuvuta tangawizi Simba vs Nkana corona ilikuwepo? Simba vs yanga unayotaka kigoma finali fa, corona ilikuwepo? Simba vs soura corona ilikuwepo ,Simba na vita ya kina kisinda corona ilikuwepo?na nyingine nyingi mwamba wa lusaka alisimamia shoo, Tena za kimataifa .