Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #81
Ilikua zaman hiyo mkuu...Hapa ilikuwa bado hajapewa bahasha akili ilikuwa sawa. View attachment 2437044
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua zaman hiyo mkuu...Hapa ilikuwa bado hajapewa bahasha akili ilikuwa sawa. View attachment 2437044
Tumia akili za kiuchambuzi...utaelewaKuonesha kuwa chama ni habari nyingine, mlishatengeneza hadi jezi huko yanga zenye jina lake kipindi anakaribia kuachana na RS Berkane. Rais wenu na vijana wenu wa habari wamemlilia sana. Hii ya kumlinganisha na wachezaji wenu, ni mbinu tu ya kujifariji na kujiweka sawa kisaikolojia. Mwamba wa Lusaka ni tatizo! Kama rais wenu alitamka chama ni hatari, wewe ni nani ujitingishe?!
Kamulize metacha mnata 4-1Uwezi kufananisha kiungo mwenye speed ya konokono na kiungo mwenye uwezo wa kucheza juu na chini yaani kocha uta amua umpange wapi.
Ili uwafananishe jaribu siku Moja kwenye Mechi zinazo wakutanisha wote uwachezeshe namba sita.
Au chukua takwimu timu zao zikikutana Head to Head nani ni tishio.
Nenda kwenye umri wao alafu nenda kwenye soko ujue thamani Yao.
Kwa kifupi Ili iwe rahisi kawaulize makipa wa izo timu mchezaji gani ni hatari pindi zinapo kutana.
Shule ulienda kufanya Nini:Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto goal 5 but asists 2
Maoni: weka ushabiki kando.....takwimu ziongee.
View attachment 2436617
Acha kumfananisha fei na huo upuuzi,fei kwa sasa yuko level nyingine yan ule utabiri wa amunike unaelekea kutimia,fei si mchezaji wa kutabiri kwenye match hii anakupa nini tofauti na chama kuna unajua kbs atoboiShule ulienda kufanya Nini:
Chama goli 2 assist 7= 9
Fei goli 5 assist 2= 7
Tofauti ya kihesabu inaanzia hapo..na mambo mengine mengi tu.
Sijawahi kuona tuzo ya asssit ila ya magoli ipoShule ulienda kufanya Nini:
Chama goli 2 assist 7= 9
Fei goli 5 assist 2= 7
Tofauti ya kihesabu inaanzia hapo..na mambo mengine mengi tu.
Alichomaanisha mleta uzi ni kwamba fei anamzidi chama vitu vingi na ukitoa hicho kigezo cha assist hakuna kingine ambacho chama anamzidi fei.. tukianza na perfomance kwenye mechi kubwa tunaona fei anakiwasha akikutana na azam, simba n.k tofauti na chama ambaye anapoteaga kwenye mechi kubwa.. spidi, stamina, mashuti ya mbali, magoli, kuendena na mechi za kasi kote uko fei yupo juuKwanini tuachane na assist? Haya twende unakotaka wewe toka chama aje tz ana goli ngapi na fei toto ana ngapi?
Tucheki ratio ya goal/game
Pia hawakushindwaLkn. Hawakushinda
Feitoto ...ana consistenceFei anampa kile anachokitaka mwl na tena timu yake ikicheza kiwanja chochote na timu yoyote,fei anaweza kumpa mwalimu huduma ya defensive box to box,attacking na vile vile holding middle field,anafunga anakaba mwl ana uwezo wa kumtumia vyovyote vile na popote pale sio huyo mchezaji wenu wa match za mchongo na kidar city hao au na dada zenu kina azam,coast,namungo,ruvu n.k,match tough kama ya juzi sahau chama kukupa chochote
... chama ambaye anapoteaga kwenye mechi kubwa.. spidi, stamina, mashuti ya mbali, magoli, kuendena na mechi za kasi kote uko fei yupo juu