Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Tumia akili za kiuchambuzi...utaelewa
 
Kamulize metacha mnata 4-1
Diarra 1-1
 
Shule ulienda kufanya Nini:
Chama goli 2 assist 7= 9
Fei goli 5 assist 2= 7
Tofauti ya kihesabu inaanzia hapo..na mambo mengine mengi tu.
 
Fei anampa kile anachokitaka mwl na tena timu yake ikicheza kiwanja chochote na timu yoyote,fei anaweza kumpa mwalimu huduma ya defensive box to box,attacking na vile vile holding middle field (6,8 na 10)anafunga anakaba mwl ana uwezo wa kumtumia vyovyote vile na popote pale sio huyo mchezaji wenu wa match za mchongo na kidar city hao au na dada zenu kina azam,coast,namungo,ruvu n.k,match tough kama ya juzi sahau chama kukupa chochote
 
Shule ulienda kufanya Nini:
Chama goli 2 assist 7= 9
Fei goli 5 assist 2= 7
Tofauti ya kihesabu inaanzia hapo..na mambo mengine mengi tu.
Kiuwezo ....

1 Goal = 3 asists

5 Goal = ?????
 
Shule ulienda kufanya Nini:
Chama goli 2 assist 7= 9
Fei goli 5 assist 2= 7
Tofauti ya kihesabu inaanzia hapo..na mambo mengine mengi tu.
Acha kumfananisha fei na huo upuuzi,fei kwa sasa yuko level nyingine yan ule utabiri wa amunike unaelekea kutimia,fei si mchezaji wa kutabiri kwenye match hii anakupa nini tofauti na chama kuna unajua kbs atoboi
 
Kwanini tuachane na assist? Haya twende unakotaka wewe toka chama aje tz ana goli ngapi na fei toto ana ngapi?

Tucheki ratio ya goal/game
Alichomaanisha mleta uzi ni kwamba fei anamzidi chama vitu vingi na ukitoa hicho kigezo cha assist hakuna kingine ambacho chama anamzidi fei.. tukianza na perfomance kwenye mechi kubwa tunaona fei anakiwasha akikutana na azam, simba n.k tofauti na chama ambaye anapoteaga kwenye mechi kubwa.. spidi, stamina, mashuti ya mbali, magoli, kuendena na mechi za kasi kote uko fei yupo juu
 
Feitoto ...ana consistence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…