Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Lini fei amekuwa mvp au wewe unataka statistic za kuanzia agosti kuja desemba yaani miezi minne hafu tuseme fei ni zaidi
[emoji1][emoji1]basi tusubiri mwisho wa Ligue
 
Assist maana yake uko na chance ya kufunga lakini kutokana na kucheza team work unampa mwenzako afunge. Assist ni chanzo cha goli.
Hapana mkuu..... asists maana yake ni kuwa una mpira .....then huwezi kufunga .....so unampa mwenyeuwezo + chance ya kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…