KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Na game hiyohiyo Fei aliporudisha tu nafasi ya kiungo Chama akapotea na kutolewa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]Haswa ile game ya mwisho na Yanga aliyotoa assist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na game hiyohiyo Fei aliporudisha tu nafasi ya kiungo Chama akapotea na kutolewa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]Haswa ile game ya mwisho na Yanga aliyotoa assist
Anacheza nafasi 3 tofauti uwanjani na kwa ufasaha sana.Fei kila akipangwa kiungo na kukabiliana na Chama,Chama lazima achemke na kutupwa benchi.Ukiondoa magoli, fei toto anamzidi nini chama!?
Utopolo ni mataahiraNa game hiyohiyo Fei aliporudisha tu nafasi ya kiungo Chama akapotea na kutolewa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji1787]Hivi Manara ana uhakika kuwa hata wale wawili wana akili?
Lini fei amekuwa mvp au wewe unataka statistic za kuanzia agosti kuja desemba yaani miezi minne hafu tuseme fei ni zaidiLeta utetezi wako mkuu ..
Assist maana yake uko na chance ya kufunga lakini kutokana na kucheza team work unampa mwenzako afunge. Assist ni chanzo cha goli.Lakni ndo ana goal nying kuliko Chama anayetumia akili
Muulize Haji Sunday Manara.Una maanisha nn mkuu
Hapana mkuu..... asists maana yake ni kuwa una mpira .....then huwezi kufunga .....so unampa mwenyeuwezo + chance ya kufungaAssist maana yake uko na chance ya kufunga lakini kutokana na kucheza team work unampa mwenzako afunge. Assist ni chanzo cha goli.
Mmoja anaweza kucheza namba 3 ....( Feitoto). Ikiwemo ya Chama ......ila Chama yupo dormant no mojaView attachment 2438302Class Mbili tofauti
Je majukumu Ni sawa wanapokuwa uwanjani ?