makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwanini tuachane na assist? Haya twende unakotaka wewe toka chama aje tz ana goli ngapi na fei toto ana ngapi?
Tucheki ratio ya goal/game
Tucheki ratio ya goal/game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maoni yangu, anayetoa assist ni muhimu zaidi maana anatafunia watu wakameze kiulaini.Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na feitoto aka KDB nmegundua jambo hili .......Kwa mpira wa kisasa feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto ....goal 5 but asists 5
Maoni: weka ushabiki kando.....takwimu ziongeeView attachment 2436617
Kupitia hizo takwimu; nimegundua Chama ni kiungo konokono, halafu Fei Toto ni kiungo mnyumbulifu.Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na feitoto aka KDB nmegundua jambo hili .......Kwa mpira wa kisasa feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto ....goal 5 but asists 5
Maoni: weka ushabiki kando.....takwimu ziongeeView attachment 2436617
SureYaaap mkuu ....Chama ni talented player ...that's y tunamwita the brain football wa simba
Chama ameshindikanaBaada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na feitoto aka KDB nmegundua jambo hili .......Kwa mpira wa kisasa feitoto ni Bora kuliko Chama
Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7
Feitoto ....goal 5 but asists 2
Maoni: weka ushabiki kando.....takwimu ziongeeView attachment 2436617
Daaah umetoa madini heavyweight .....ambayo yame oversized ubongo .....Hadi nmeshindwa kuya processUwezi kufananisha kiungo mwenye speed ya konokono na kiungo mwenye uwezo wa kucheza juu na chini yaani kocha uta amua umpange wapi.
Ili uwafananishe jaribu siku Moja kwenye Mechi zinazo wakutanisha wote uwachezeshe namba sita.
Au chukua takwimu timu zao zikikutana Head to Head nani ni tishio.
Nenda kwenye umri wao alafu nenda kwenye soko ujue thamani Yao.
Kwa kifupi Ili iwe rahisi kawaulize makipa wa izo timu mchezaji gani ni hatari pindi zinapo kutana.
Nimekuelewa hapa mkuuDaaah umetoa madini heavyweight .....ambayo yame oversized ubongo .....Hadi nmeshindwa kuya process
....hapa nmetoka empty kupata the best one[emoji1][emoji1]