Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke .
Kuhusu Yanga hivi imewahi kutokea wamemaliza ligi wakiwa nje ya top three ?