Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

Ukienda deep sio ajabu ukakuta nyie ndio mnachelewesha wengine[emoji3].

Kwanza ni poor mentality na haina lengo zuri tunapoanza iu clarify vitu kwa kuegemea makabila.

Hili suala huwa linapelekea hata katika nafasi watu kutaka kubebana.

Naamini asilimia kubwa ya watoa topic hizi wana vi element vya UPUMBAVU,UJINGA na/au USHAMBA.

UPUMBAVU NA UJINGA unaondolewa na maarifa halisi.
USHAMBA unaondolewa na kujichanganya au kuchanganyia,sina uhakika na tafsiri,lakini nimemaanisha EXPOSURE.

Kwa sasa local exposure imekuwa lakini WAJINGA na WAPUMBAVU ni wengi na wapo katika maeneo ya kufanya maamuzi katika nafasi mbalimbali serikalini na sekta binafsi.

Anyway kuna kina wenu wengi tu wanasukuma ma toroli ya maji Dar, wanapambana na hizi menial task aisee
Talking about exposure?
Sisi exposure tunayo Tangu kabla nchi haijapata uhuru
Viongozi wetu kipindi hicho walishazurura duniani huko kusoma
Poor mentality mnayo wazembe
Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ndio mkoa wenye makazi bora VIJIJINI KULIKO mkoa wowote
Kilimanjaro hakuna nÿumba ya nyasi hâta Moja, Kilimanjaro huduma za jamii ni toshelezi kwa 95%
Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na sekondar nyingi Licha ya udogo wake
Kilimanjaro ni kawaida Karibu Kila kijiji kukuta zahanati, hospital,shule ya private
Kilimanjaro ni mkoa wenye kuongoza kwa life expectancy (ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na wazee wengi kwa mujibu WA wizara ya afya)

Nb

Hâta USA Kuna maskini wasio hâta n'a makazi
 
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.

Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi China jiji la Guangzou, Marekani jiji la San Fransisco na mwengine Australia jiji la Sydney.

Kurudi kwa pamoja hukutanisha kila mwaka ndugu, majirani mpaka marafiki wa utotoni, kwa wale watoto waliozaliwa huku mijini ama nje ya nchi nao wanapelekwa kuijua mizizi yao, nadhani hata kama ulikopa duka la mangi mwaka jana basi hii December utadakwa tu.

Tukija huku makabila mengine ni nadra sana, achilia mbali kabila yani hata ndugu kurudi kwa pamoja kwenye mizizi yao ni suala zito, Labda itokee kuna msiba wa babu huko kijijini watazika na kutawanyika.

Binafsi upande wa baba ni mtu wa kanda ya ziwa, Yeye alikulia kijijini huwa anarudi kila mwaka lakini mimi nilienda mara 2 tu nikiwa darasa la sita na la saba shughuli ikaishia hapo !! kwakweli ni kipindi kirefu sana kimepita, connection za kijijini zimepotea kabisa hata watoto wakiulizia kijijini kwao nawaambia ni mtaa wa mjini niliozaliwa, naowahesabia ni ndugu ni wale tunaokutana mjini ila kule kwenye mizizi nishapoteza connection.

Nipo mikoa ya Iringa ya Mbeya kuna makabila kadhaa mambo ni hayo hayo tu, tukianza na Wanyakyusa wa Mbeya waliozaliwa nje ya sehemu za mizizi yao (Tukuyu ama Kyela) hawajazoeshwa kurudi kwenye mizizi yao hata undugu ni ule wa kujuana ndugu wa mjini. Ikitokea wamerudi huko kwao labda kuwe na mazishi, hali inakuwa mbaya zaidi kwa watoto wa hawa wanyakyusa waliozaliwa mijini wanaweza hata wasipajue Tukuyu.

Wengine nao ni wakinga wa huko Njombe wapo sana hio Iringa na Mbeya, watoto wanaishia kupajua mjini tu na ndugu wa mjini, Nina rafiki aliwahi kurudi kwenye msiba wa bibi yake tu tangu hapo hapajui Makete,
Wasambaa nawao huwa wanajikusanya na kurudi hasa wakati wa sikukuu za kiislam hasa Idd,wale wa mazingira ya Kkoo na Posta.......
 
Talking about exposure?
Sisi exposure tunayo Tangu kabla nchi haijapata uhuru
Viongozi wetu kipindi hicho walishazurura duniani huko kusoma
Poor mentality mnayo wazembe
Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ndio mkoa wenye makazi bora VIJIJINI KULIKO mkoa wowote
Kilimanjaro hakuna nÿumba ya nyasi hâta Moja, Kilimanjaro huduma za jamii ni toshelezi kwa 95%
Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na sekondar nyingi Licha ya udogo wake
Kilimanjaro ni kawaida Karibu Kila kijiji kukuta zahanati, hospital,shule ya private
Kilimanjaro ni mkoa wenye kuongoza kwa life expectancy (ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na wazee wengi kwa mujibu WA wizara ya afya)

Nb

Hâta USA Kuna maskini wasio hâta n'a makazi
Mimi siyo mchaga ila vijijini vya Kilimanjaro vina nyumba bora kuliko miji kama Tabora,nimeenda mara kadhaa kwenye misiba kule machame unapita kidogo mbele kwakina Freeman Mbowe, Nimeenda kibosho na Hai ,nyumba za kule ni bora kuliko za Tabora manispaa
 
Amekaa kwenu miaka 14 hivyo anawajua.

Wewe tungekuona unampinga kwa kubisha hoja alizoleta na hayo maeneo kusema hayapo hivyo kwa ushahidi.
Yeye pekee yake ndo ameona hivyo vitu ila wengine hatujaviona
Wachaga ndo kabila lililoacha mambo ya mila yaani ni kabila lililoharibiwa na utandawazi

Kuna vijiji ukienda technical ni kama mjini tu sio vijijini
 
Talking about exposure?
Sisi exposure tunayo Tangu kabla nchi haijapata uhuru
Viongozi wetu kipindi hicho walishazurura duniani huko kusoma
Poor mentality mnayo wazembe
Kilimanjaro kwa mujibu WA NBS ndio mkoa wenye makazi bora VIJIJINI KULIKO mkoa wowote
Kilimanjaro hakuna nÿumba ya nyasi hâta Moja, Kilimanjaro huduma za jamii ni toshelezi kwa 95%
Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na sekondar nyingi Licha ya udogo wake
Kilimanjaro ni kawaida Karibu Kila kijiji kukuta zahanati, hospital,shule ya private
Kilimanjaro ni mkoa wenye kuongoza kwa life expectancy (ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na wazee wengi kwa mujibu WA wizara ya afya)

Nb

Hâta USA Kuna maskini wasio hâta n'a makazi
Napigilia msumari. 📌 Drat
 
Ukienda deep sio ajabu ukakuta nyie ndio mnachelewesha wengine😀.

Kwanza ni poor mentality na haina lengo zuri tunapoanza iu clarify vitu kwa kuegemea makabila.

Hili suala huwa linapelekea hata katika nafasi watu kutaka kubebana.

Naamini asilimia kubwa ya watoa topic hizi wana vi element vya UPUMBAVU,UJINGA na/au USHAMBA.

UPUMBAVU NA UJINGA unaondolewa na maarifa halisi.
USHAMBA unaondolewa na kujichanganya au kuchanganyia,sina uhakika na tafsiri,lakini nimemaanisha EXPOSURE.

Kwa sasa local exposure imekuwa lakini WAJINGA na WAPUMBAVU ni wengi na wapo katika maeneo ya kufanya maamuzi katika nafasi mbalimbali serikalini na sekta binafsi.

Anyway kuna kina wenu wengi tu wanasukuma ma toroli ya maji Dar, wanapambana na hizi menial task aisee
Acha uwoga, perception uliyonayo inatokana na umaskini wa akili, jiamini
 
Rudia kusoma nilichoandika. Au kwa vile wewe ni Chagga King na uchaga umeguswa unajikuta unashindwa kufikiri sawa sawa.
Hakuna sehemu nimeu disrepect uchaga. Ila nime deal na comment yako ulipoandika mpewe nchi yenu wengie wanawachelesha. Hata kama ni joke, iko petty na ni ya KISHAMBA NA KIJINGA.
Umetoa povu sana!
Kindeena haukuelewa, nilicho oppose ni kauli ya chagga king na perceptions zake yeye. Kuhusu jamii ya wachagga nakubali ni jamii mfano wa kuigwa katika mambo mengi sana.
Mkiacha watu dizaini hii waendelee ndio kama wale wazungu waliosema IQ ya mtu mweusi ni ndogo, na jamii yao European ni kubwa wakati kuna wazungu wengi tu ni wajinga mpaka wanachekesha pia.
Anyway inawezekana na deal na Gen Z.
 
Hakuna mahali nimeandika kuwa tupewe nchi, unless umechanganya madesa, so ww ndiye usome vizuri, reply yangu kwako ni juu ya wewe kusema "unaweza kuta wachaga ndio wanaorudisha maendeleo ya nchi nyuma" na blah blah nyingi, honestly huwezi kuwa sahihi that's unbeatable fact,

Kusema kuwa na "akili ya kimasikini" na uondoe uoga kama ungetafakari ungeelewa kuwa nilimaanisha kila mtu au kila kabila lina uwezo wa kufanya makubwa na si kudhani tu kuwa wachagga ndio wameumbiwa hizo sifa, maana akili za kimasikini siku zote humfanya mtu kujiona kuwa yupo marginalised na ukiongeza na uoga wa kujaribu kufanya mambo constructive ndio hudhoofisha jamii.

Sasa wewe umejikita sijui kwenye IQ, sijui generation Z, unataka mimi nikutafsirije wewe?, angalia hapa nime join Jf lini, ndo utajua my generation.

Still u think my IQ is that low!!? 😄 🤣 😂 😆
 
Kila kitu kina sababu yake na mazingira yake tusiwasifu sana wachagga, ardhi ya wachagga ipo karibu karibu mno na ndogo na ina rutuba, ardhi ndogo na population density kubwa, ni rahisi ndugu kukutana kwa kuwa wapo karibu karibu vizazi na vizazi, kilimo chao ndizi na kahawa hakiruhusu kuhama hama, tofauti na wilaya nyingine kijiji/kitongoji kimoja hadi kingine na nyumba moja hadi nyingine umbali ni mkubwa sana hata kuunganisha kwa miundo mbinu ni ngumu. Utoke Uyui hadi Nzega ni mbali, ila Rombo, Marangu, Mwika, old Moshi, Kibosho hadi Machame unamaliza ndani ya lisaa limoja tu, umejumuika na ndugu wote unaowataka.
 
Mh
Utamduni huu upo kwa Wachaga na Wahaya tu. Wahaya wamekuwa na utamaduni huo tangu enzi na enzi. Mpaka kurudi wamekuandika kwenye vitabu vinavyotumia lugha yao. Tofauti Wahaya hawafanyi matambiko ya kichawi kama wafanyavyo wachaga. Wale walioko nje ya nchi wanakutana kwenye mizizi yao kwa muda wanaokuwa wamepanga siyo iwe kwenye kipindi kimoja cha sikukuu.

Nasema matambiko ya KICHAWI kwasababu Kilimanjaro (wilaya za wachaga) ukitoa Wapare kwa mujibu wa taarifa za NBS ndiyo inaongoza kwa kuwa na watu wenye ulemavu. Ulemavu huu si wa kuzaliwa bali ni ule wa kichwawi wa mali ambao kila disemba lazima watimize masharti ya kumwaga damu.
Mhaya bwana pambanieni kagera imechaararaa kiuchumi
 
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.

Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi China jiji la Guangzou, Marekani jiji la San Fransisco na mwengine Australia jiji la Sydney.

Kurudi kwa pamoja hukutanisha kila mwaka ndugu, majirani mpaka marafiki wa utotoni, kwa wale watoto waliozaliwa huku mijini ama nje ya nchi nao wanapelekwa kuijua mizizi yao, nadhani hata kama ulikopa duka la mangi mwaka jana basi hii December utadakwa tu.

Tukija huku makabila mengine ni nadra sana, achilia mbali kabila yani hata ndugu kurudi kwa pamoja kwenye mizizi yao ni suala zito, Labda itokee kuna msiba wa babu huko kijijini watazika na kutawanyika.

Binafsi upande wa baba ni mtu wa kanda ya ziwa, Yeye alikulia kijijini huwa anarudi kila mwaka lakini mimi nilienda mara 2 tu nikiwa darasa la sita na la saba shughuli ikaishia hapo !! kwakweli ni kipindi kirefu sana kimepita, connection za kijijini zimepotea kabisa hata watoto wakiulizia kijijini kwao nawaambia ni mtaa wa mjini niliozaliwa, naowahesabia ni ndugu ni wale tunaokutana mjini ila kule kwenye mizizi nishapoteza connection.

Nipo mikoa ya Iringa ya Mbeya kuna makabila kadhaa mambo ni hayo hayo tu, tukianza na Wanyakyusa wa Mbeya waliozaliwa nje ya sehemu za mizizi yao (Tukuyu ama Kyela) hawajazoeshwa kurudi kwenye mizizi yao hata undugu ni ule wa kujuana ndugu wa mjini. Ikitokea wamerudi huko kwao labda kuwe na mazishi, hali inakuwa mbaya zaidi kwa watoto wa hawa wanyakyusa waliozaliwa mijini wanaweza hata wasipajue Tukuyu.

Wengine nao ni wakinga wa huko Njombe wapo sana hio Iringa na Mbeya, watoto wanaishia kupajua mjini tu na ndugu wa mjini, Nina rafiki aliwahi kurudi kwenye msiba wa bibi yake tu tangu hapo hapajui Makete,
Sijui nipo nje ya mada au Bado nipo huku humu. Nilivyosoma historia za makabila na lugha zao niligundua kuwa wachaga wamegawanyika sana. Ukweli nikwamba Kuna wachaga ukiwaweka pamoja hawalewani lugha kabisa labda watumie kiswahili. Kwa namna hii nadhani hata tamaduni zao(ikiwemo kurudi nyumbani) zinatofautiana kutoka mchaga wa eneo moja na jingine
 
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.

Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi China jiji la Guangzou, Marekani jiji la San Fransisco na mwengine Australia jiji la Sydney.

Kurudi kwa pamoja hukutanisha kila mwaka ndugu, majirani mpaka marafiki wa utotoni, kwa wale watoto waliozaliwa huku mijini ama nje ya nchi nao wanapelekwa kuijua mizizi yao, nadhani hata kama ulikopa duka la mangi mwaka jana basi hii December utadakwa tu.

Tukija huku makabila mengine ni nadra sana, achilia mbali kabila yani hata ndugu kurudi kwa pamoja kwenye mizizi yao ni suala zito, Labda itokee kuna msiba wa babu huko kijijini watazika na kutawanyika.

Binafsi upande wa baba ni mtu wa kanda ya ziwa, Yeye alikulia kijijini huwa anarudi kila mwaka lakini mimi nilienda mara 2 tu nikiwa darasa la sita na la saba shughuli ikaishia hapo !! kwakweli ni kipindi kirefu sana kimepita, connection za kijijini zimepotea kabisa hata watoto wakiulizia kijijini kwao nawaambia ni mtaa wa mjini niliozaliwa, naowahesabia ni ndugu ni wale tunaokutana mjini ila kule kwenye mizizi nishapoteza connection.

Nipo mikoa ya Iringa ya Mbeya kuna makabila kadhaa mambo ni hayo hayo tu, tukianza na Wanyakyusa wa Mbeya waliozaliwa nje ya sehemu za mizizi yao (Tukuyu ama Kyela) hawajazoeshwa kurudi kwenye mizizi yao hata undugu ni ule wa kujuana ndugu wa mjini. Ikitokea wamerudi huko kwao labda kuwe na mazishi, hali inakuwa mbaya zaidi kwa watoto wa hawa wanyakyusa waliozaliwa mijini wanaweza hata wasipajue Tukuyu.

Wengine nao ni wakinga wa huko Njombe wapo sana hio Iringa na Mbeya, watoto wanaishia kupajua mjini tu na ndugu wa mjini, Nina rafiki aliwahi kurudi kwenye msiba wa bibi yake tu tangu hapo hapajui Makete,
Wazaramo na waluguru wanaongoza.
Msimu wa ngoma, au misimu ya jando lazima wazaramo au wakwere, waluguru warudi vijijini kwao kwa mwaka hata mara kumi.
Sema tu ukaribu wao na Dar na kutokuwa kwao wahamiaji, basi wakienda kwao siyo jambo la ajabu wanadandia tu coaster.
 
Back
Top Bottom