tukiazimisha miaka 50 na wewe umefiksssha 50 kwenye list uliopitia ??

tukiazimisha miaka 50 na wewe umefiksssha 50 kwenye list uliopitia ??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
wakati tanzania ikiazimisha miaka 50 vya vituko na ufisadi,,,naomba jukwa letu tuwaheshimu wote waliofwahi kupitia
mizigo na kufikia 50 ama zaidi kwa kuwa wanaimarisha jukwaa letu na kuweka kumbukumbu ...ni wakati wako sasa

na wewe ukianzia ulipoondolewa ile nanii mpaka sasa umeoa pls usiweke nyumba ndogo baada ya ndoa hii ni kuanzia
ujanani mpaka ndoani je 50 wamefika na kama wamefika naomba nikupongeze na wimbo wa

""didnt want to have to do it """
frm lovinspoonful-
greatest hits
 
Back
Top Bottom