Tukibaki Hai, Tutasimulia

Ok. Kuna check yako nimekupitishia hapo nimekuta kuna solex nikaondoka nayo
 
Kule naona maneno mengi sana ya wadau,maybe anakatishwa tamaa na hayo maneno.
Bora ajikite zaidi huku atleast kuna amani flani amazing.
Umeona eeenh kule makelele mengiii na vile namjua tivuuuu [emoji23][emoji23] hawezagi vumilia ataenda nao hivyohivyo wanavyotaka

Ila huku asitususe jamani
 
Umeona eeenh kule makelele mengiii na vile namjua tivuuuu [emoji23][emoji23] hawezagi vumilia ataenda nao hivyohivyo wanavyotaka

Ila huku asitususe jamani
Ndo kashatususa apa, [emoji3064]
Kaenda kwenye audience kubwa.
 
Ila mwamba nakupa 'saluti'.
Maana nakusoma hapa na kule kwa Big.
Yaani inabidi uwe na kichwa hasa kutengeneza story za hivi.
Big up Chief.
 
Dr Lambert MTU mbad Sana [emoji16] Kala utamu alafu kaua utamu Korea tena [emoji16]

Jennifer mtalaam wa kutengeneza kahawa [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…