Tukibaki Hai, Tutasimulia

Yani ni bonge Moja la action muvie!! Unasoma huku unapaya picha kabisa Safi sana!
Hongera sana Steve!!
 
Mzee utatuua Kwa arosto kama unauza Kwa mfumo wa PDF niambie kiasi gani ninunue yote
 
Maybe anaumwa jamani hawezi kukimbia kote kote
 
Waandishi wa story humu JF ni washamba! Niliwahi kumchana humu The Bold na akani block. Na hawa wengine wote Steve Mollel, SinganoJr, UMUGHAKA wote washamba tu!
 
I wish iwe nzuri hivi ninapoendelea! Maana nimesha ivulia nguo
 
Duhh! Siri sio siri tena mpaka dk hii!
 
Duh! Ngoma inazidi kunoga
 
Duh! Kuna story tena hapa! Best characterz washapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…