Tukibaki Hai, Tutasimulia

Mwenyewe nimeshasahau yaani sijaelewa chochote hata kutag watu naona haina maana nitawasumbua tu masikini kwa hii story iliyosahaulika
🤣🤣🤣twend hivohivo tutaelewa mbele
 
Kumbe iliendelea hii uwiiii Ndio naiona leo aiseee Bantu Lady Tayukwa baby zu Lovelovie Kalpana leadermoe Gily Santos06 hii kumbe iliendelea bana!
 
Asante mamii, hata nilipofika sipakumbuki 🤔🤔🤔 nitaanza upya 😀😀😀😀😀
Ilivo ndefuu weeee!! Mi nilichokua Nakumbuka tu ni majina Mitchelle Dr Lambart Dr. Jean Bryson mkewe Hilfa Jennifer mapacha sikumbuki nani alikufa nani yupo hai🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…