Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kuna habari kuwa utaandaliwa mdahalo kabambe kuwakutanisha wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ingawa mpaka sasa hajajulikana nani atakuwa muandazi lakini tunategemea kumfahamu mapema iwezekenavyo.
Wakati tunasubiri jambo hilo jema thread hii itakuwa special kwa mikusanyiko ya hotuba mbali mbali walizo wahi kutoa wagombea mahali mbali mbali mgano Bungeni, majukwaani au kwenye mikutano ya ndani.
Hii itatusaidia kuwapima uwezo wao wa kujieleza, umakini na hulka zao kwa ujumla. Unapokuwa Rais tayari wewe ni public property hivyo wanao kumiliki (wananchi) lazima wakuelewe.
Naanza kumuwela Tundu Lissu mgombea wa Chadema akiwa Bungeni.