Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wagombea wote wakiongea na vyombo vya habari vya nje ya nchi
Tundu Lissu;
JohnMagufuli;
Tunaomba mdahalo huo uwe wa lugha ya kiingereza ili dunia nzima isikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagombea wote wakiongea na vyombo vya habari vya nje ya nchi
Tundu Lissu;
JohnMagufuli;
Atiiiii...??? Unamaanisha 0.9%Hapo kunamgombea au Mtekelezaji wa Matakwa ya Jinsia moja!!
Yaani muombea Mabaya nchi yake naye mgombea
Magufuli Akipata 90% Atakuwa bado Kakosa Ushindi
Hahah daah umejibu kiupole sana.The bitter truth is that " Magufuli will lead the country for next 5 years"
Hizi ngonjera zenu Ni katika kujifurahisha tu, pia Lissu hafai hata kidogo kupewa madaraka ya urais!
Kuna habari kuwa utaandaliwa mdahalo kabambe kuwakutanisha wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ingawa mpaka sasa hajajulikana nani atakuwa muandazi lakini tunategemea kumfahamu mapema iwezekenavyo.
Wakati tunasubiri jambo hilo jema thread hii itakuwa special kwa mikusanyiko ya hotuba mbali mbali walizo wahi kutoa wagombea mahali mbali mbali mgano Bungeni, majukwaani au kwenye mikutano ya ndani.
Hii itatusaidia kuwapima uwezo wao wa kujieleza, umakini na hulka zao kwa ujumla. Unapokuwa Rais tayari wewe ni public property hivyo wanao kumiliki (wananchi) lazima wakuelewe.
Naanza kumuwela Tundu Lissu mgombea wa Chadema akiwa Bungeni.