Tuna hasara kubwa kama taifa vijana kama ninyi.Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa!
Nilichokuja kugundua hawa jamaa wa ios walitumia akili nyingi sana na ndo maana mpaka leo wameendelea kuwa relevant! Ukija upande wa pili yaani Android ni kwamba wamekuwa hawana jipya kabisa, mbaya zaidi huo mfumo ulivyoachwa kuwa open source mpaka "shit phones" nazo zimedandia humo humo!
Kifupi advantage ninayoiona kwenye android ni uwezekano wa kutumia mod apk(ambalo sio jambo la kujivunia). Ila kwa kifupi official apk za ios ni way better kuliko android, android zimejaa takataka za kila namna.
NB: Nina device zote mbili za ios na android ambazo ni high end, kwahiyo najua ninachokisema!
Zamani, Apple waliweka Touch ID, Face ID, Retina display. Lakini sasa, wanaonekana wanakimbiza. Mambo kama foldable phones, under display cameras, na fast charging yameanza na Android. iOS 18 inaongeza AI features (kama Apple Intelligence), lakini bado wako nyuma kidogo.
Umeandika kama zee lijinga fulani hivi lililokuzwa enzi za simu ya mdomo na halitaki kubadilika limeachwa na teknolojia.Tuna hasara kubwa kama taifa vijana kama ninyi.
.ungesema Ios inakuruhusu kuingia JF na Android zimegoma ungeonekana wa maana.
Ukiongelea Android na iOS there's nothing like "iOS ni nzuri zaidi, natumia zote mbili so najua ninachosema"Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa!
Nilichokuja kugundua hawa jamaa wa ios walitumia akili nyingi sana na ndo maana mpaka leo wameendelea kuwa relevant! Ukija upande wa pili yaani Android ni kwamba wamekuwa hawana jipya kabisa, mbaya zaidi huo mfumo ulivyoachwa kuwa open source mpaka "shit phones" nazo zimedandia humo humo!
Kifupi advantage ninayoiona kwenye android ni uwezekano wa kutumia mod apk(ambalo sio jambo la kujivunia). Ila kwa kifupi official apk za ios ni way better kuliko android, android zimejaa takataka za kila namna.
NB: Nina device zote mbili za ios na android ambazo ni high end, kwahiyo najua ninachokisema!
Aisee....Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa!