Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini pia hata Ndio zinazoitikiwa kwenye kikao hicho unaona kabisa ni za kulazimisha .Kiuhalisia Mama anadanganywa kwa upande wa wananchi Tupige na Tulipe kodi tuache kulalamika kwa
Mama afanye Haya kujinasua katika hali Ngumu iliyopo ya Kiuchumi :-
1. Kwa sasa usianzishwe Mradi wowote Mpya mpaka hali ikae sawa .
2. Kopa Hela Nyingi za Kutosha kumaliza miradi mikubwa yote Inayo endelea iishe
3. Kusanya Kodi na Tozo kwa NAMNA YOYOTE ile ili kuweza kulipa Mishahara na Matumizi mengine ya Serikali .
4. Punguza Matumizi yasiyo ya Lazima kama safari nk..Tumia wawakilishi waliopo Jirani na sehemu husika
5. Rekebisha Bei ya Mafuta ,Hii itasaidia kupunguza bei ya Vitu vingine
6 .Punguza Kucheka na Wanaharakati ,Wanasiasa,Social Medias na Waandishi wa Habari hawa watu kawaida hufanya vitu kwa ajili ya faida yao ukitoa Uhuru sana hawata kusaidia .
MWISHO :-Kumbuka kama watu huwa huwapendi hata fulani awe wa kwanza Darasani kulingana na jinsi binadamu tulivyo umbwa je wewe? Lakini pia Siasa haina Adui wala Rafiki wa Kudumu usaliti na unafiki Mwaingi sana Angalia sana Safu yako.
Wale wale waliomzuia EL kuwa Rais ndio wale wale aliowabeba wasiaibike .