Tukifungwa hii mechi na kocha afukuzwe

Tukifungwa hii mechi na kocha afukuzwe

Quality quality quality......


Unaleta wachezaji wa mtumba quality ya ya chini kabisa unamlaumu KOCHA.

Wataalamu wanasema 1-1
 
Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.

Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.

Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.

Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?

Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.

Tukifungwa haondoke
Asiondoke kwanza mpaka tucheze na Azam na Uto.
 
Kocha unamwanzishaje Sakho?
Unamwachaje Baleke nje?Unamsahau Phiri nje na unajidai huoni?!!

Mimi binafsi sina imani na makocha wazungu,ni wapumbavu sana
Waliomleta huyo mzungu ni waafrika kama wewe.
 
Ni tanzania pekee timu ikipoteza mchezo utawasikia mashabiki hatumtaki kocha.
Timu mbili hizo hazitakiwi kupoteza wala sare ni kosa la jinai,ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom