MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
- Thread starter
-
- #21
Bora angebaki halafu akaletewa wasaidizi wa maana kuliko mtu mpya na falsafa yakemgunda angebaki kama kocha mkuu tungelaumu pia..
Mi naona team ipangwe upya usajili uwe mnzuri.
UongoMechi hii hata mgunda angekua kocha tungefungwa
Asiondoke kwanza mpaka tucheze na Azam na Uto.Tangu ujio wa huyu Kocha Robertinho Simba kiwango chake kinazidi kwenda chini.
Tukumbuke Kocha wetu Mgunda hatukufungwa mechi yoyote kwenye kampeni ya kuingia makundi ligi ya mabingwa Afrika.
Tulimuua kule kule kwao Nyasa big bullets,
Na tukamuua tena team kubwa kule Angola akiwa nyumbani kwake na wakeze.
Huyu Mwamba Robertinho mpaka Leo hatujui mpira Simba inaoucheza, hakuna formation, hakuna mipango, viwango vya wachezaji havikui?
Laiti tungempa uvumilivu na Imani kwa Kocha wetu mzawa basi tungekuwa vizuri kuliko tulivyo Leo.
Tukifungwa haondoke
Kwakikosi Kama hiki!Amekufa Al Ahly ndio itakuwa Raja?
Shida ni kocha
Waliomleta huyo mzungu ni waafrika kama wewe.Kocha unamwanzishaje Sakho?
Unamwachaje Baleke nje?Unamsahau Phiri nje na unajidai huoni?!!
Mimi binafsi sina imani na makocha wazungu,ni wapumbavu sana
Kocha hafiki pasaka.Hana muda mrefu huyu kocha tusiwe wanafki