HAYA SASA YAMETIMIA😆😆😆Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Niko masiliano simuoni , au kuna route nyingine ..?[emoji23][emoji23][emoji23]me nasubiria aanze safari yake ya kutoka mwenge
Nadhan sasa hivi utakuwa umefika kwenye daraja la Mfugale!!.Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Roho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.KWA HIYO WE ROHO INAKUUMA SANA TANZANIA KU QUALIFY
Big up taifa stars, tupo pamoja, sijawawahi kuwa sapoti , ila leo tumoko...[emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana. Ndiyo tumeshafuzu sasa. Hakuna namna. Timu yetu ni nzuri isipokuwa upangaji wa timu mechi za nyuma ulikuwa ni kikwazo. Leo kocha amepanga kikosi ambacho hata sisi tulikipendekeza kabla ya hii mechi. Na matokeo tumeyaona. Taifa Stars oyeeee!!!!!
Mkuu anzia kunya pale lugalo.Vip huyu fucken hajaanza kunya huko, anae chawia adi timu ya taifa lake
Captopril
Kuja ufike Tazara kinyeo kitakuwa kimechemka chekunduuu kama cha chonja.Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Uanze kuharisha kabisa [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787]Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Nafikiri hofu yako imekata sasa.Dk 90 zipo ili kukamilisha maana ya mpira wa miguu wachezaji baadhi wanaweza kutugharimu