Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Tukifuzu AFCON mechi ya leo nakunya kuanzia Mwenge hadi uwanja wa ndege

Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
HAYA SASA YAMETIMIA😆😆😆
TZ IMEFUZU KWENDA AFCON 2019 EGYPT!
KUNYA SASA
 
Najua utasema kama shafih dauda kuwa ulikuwa unatoa changamoto....sasa njoo unyee kwenye dushe yangu apa mbuzi wewe 3-0
 
Ushaanza kunya nina toilet papers na maji ya kutosha kukufikisha airport

Happiness is a choice
 
KWA HIYO WE ROHO INAKUUMA SANA TANZANIA KU QUALIFY
Roho inaniuma hatuna kikosi cha kushindana.

Mfano mzuri tupangwe kundi moja na Senegal, Uganda (hawahawa tuliowafunga 3-0), na Algeria unazani nini tutakipata?
Ni vyema tukawa na kikosi cha kishindani ambacho tuko na hakika nacho kuokota points hata mbili kule.
Nawapongeza kwa walichokifanya so far
 
Pole sana. Ndiyo tumeshafuzu sasa. Hakuna namna. Timu yetu ni nzuri isipokuwa upangaji wa timu mechi za nyuma ulikuwa ni kikwazo. Leo kocha amepanga kikosi ambacho hata sisi tulikipendekeza kabla ya hii mechi. Na matokeo tumeyaona. Taifa Stars oyeeee!!!!!
Big up taifa stars, tupo pamoja, sijawawahi kuwa sapoti , ila leo tumoko...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAVI YAKO UMEFIKA NAYO WAPI ?? LETA KINYEO CHAKO HUKU TUKUTAWAZE.
 
Yani hata uganda wakituachia lesotho watakaza tu washinde sisi tusishinde tu MUNGU saidia tupigwe tusiende popote kuna dhuluma na ushenzi mwingi ubaendelea nchi yetu tupigwe tu kabisa
Kuja ufike Tazara kinyeo kitakuwa kimechemka chekunduuu kama cha chonja.
 
Back
Top Bottom